That's Why
Easy Tickets, Comfortable Rides – Travel with Us!
How to book a bus?
Follow these simple four steps and book the ticket!
Find Your Bus
Enter your departure and destination locations, travel date, and browse available buses.
Choose & Confirm
Choose a preferred bus, seat, and confirm passenger details.
Make Payment
Complete the payment through available options to confirm your ticket.
Travel & Enjoy
Get your e-ticket and board the bus on the scheduled date.
About us
Follow these simple four steps and book the ticket!
Karibu KING YASIN TOURS, wasafirishaji wa abiria, vifurushi na mizigo kutokea Jijini Dar es salaam kueleka kusini mwa Tanzania. Makao makuu ya kampuni yetu yanapatikana mkoani MTWARA na ndipo chimbuko kuu la kampuni yetu ilipoanzishwa. Nje ya mabasi, King Yasin Tour pia tunajihusisha na usafirishaji wa mizigo kupitia Maroli tuliyonayo ya kisasa na ubora zaidi. Unapozungumzia MTWARA hakuna mahali unaweza acha usitaje KING YASIN TOURS, sisi ndio wababe wa MTWARA, that’s why tunajulikana kama Mfalme wa MTWARA.

.png)
Bus Routes
Discover the routes that connect your cit.
Dar es salaam to mtwara | Daily | 07:30 |
Mtwara to Dar Es Salaam | Daily | 07:30 |
10000+

25+

100%

15+
Amenities We Provide
We make sure that your every trip is comfortable
Free WiFi
Soft Drinks & Breakfast
USB charging ports
TV’s
Our Customer Testimonial
See what our customers have to say about our staff and services.
"Huduma ya KING YASIN TOURS ni ya kipekee! Mara zote wanahakikisha abiria wanafurahia safari zao. Mabasi ni safi, yanawahi, na wahudumu wana heshima sana. Napenda kusafiri nao kila mara!"
Juma H.
"King yasin tours ni chaguo langu la kwanza kila ninaposafiri! Huduma yao ni ya kiwango cha juu, na wanaonesha kujali sana abiria wao. Nimefurahia sana jinsi wanavyothamini wateja wao. Nawashauri wote waijaribu"
Mwanahamis J.
"Breakfast tunayoipata mud awa safari inatusaidia sana tuwapo muda wote wa safari, hakika hii ndio kiboko ya usafiri njia ya MTWARA. "
Fatma G.
"Nimekuwa mteja wenu wa kudumu KING YASIN TOURS, tangia niwajue hamjawahi kuchuja, endeleeni kutupa huduma bora kila siku."
Vicent L.


